LATEST ACTIVITIES

Combating Aflatoxin: Scientists at SUA investigate maize storage in Morogoro and Njombe

mabrouk in lab 4 1 

Mr Mabruki Fadhili, postraduate student working with maize to check occurrence of aflatoxin producing fungi

Aflatoxins are the most toxic mycotoxins (toxins produced by fungi) which cause cancer, stunted growth and immunosuppression among other health effects. The toxins occur widely in food and feeds in tropical regions especially in developing countries. Cereals, especially maize are the most affected.

In Tanzania, like many other African countries, maize is the number one staple food. Sokoine University of Agriculture has joined efforts of the Tanzania government in fighting occurrence of aflatoxins in foods by conducting research and advising measures to take.

Recently, researchers at the College of Veterinary Medicine and Biomedical Sciences have launched a research to investigate storage of maize in Morogoro and Njombe regions, and how the practices affect growth of aflatoxin producing fungi.

The research, led by Dr Benigni Temba and Dr Isaac Makundi, is conducted by a postgraduate student, Mr Fadhili Mabruki. The study aims at providing information on how maize storage may be an important factor in reducing occurrence of aflatoxin in maize and its exposure to humans and animals.    

SHARE THIS INFORMATION WITH YOUR FRIEND

A Leading Vet Products Company and CVMBS developing a mutual collaboration

Ashish Life Sciences (ALS) and College of Veterinary Medicine and Biomedical Sciences have started Memorandum of Understanding aimed at contributing to improved practical skills to students at the College.

Ashish photo 1

In a meeting held including Managing Director of the Company, Dr Sanjeev Sarkar and Principal of the College of Veterinary Medicine and Biomedical Sciences, Prof Elliot Phiri, the two parties agreed to work together, where the company will provide various learning materials to be used to students in their practical learnings.

In the meeting, were also the Company Nationa sales manager, Dr Dalius Leonard and Dr Athanas Ngou, an academic staff at the college.

During the visit, the company delegates donated various Veterinary Materials including drugs.

Ashish photo 2

SHARE THIS INFORMATION WITH YOUR FRIEND

OPENING OF THE 38TH TVA CONFERENCE IN ARUSHA

TVA opening

Opening of the 38th Tanzania Veterinary Association (TVA) Conference was done on 10th December and expected to run until 12th December 2020. The three day annual scientific conference takes place at the Arusha International Conference Centre, In Arusha Tanzania. The conference goes in parallel with TVA annual general meeting.

TVA Kambarage

In his opening remarks, the TVA chairman Prof Domonic Kambarage, applauded the participants for taking their time to contribute and attend to the conference. Prof Kambarage also thanked different stakeholders who have supported financially and morally the conduction of the conference. In regard to that, Prof Kambarage mentioned Farmbase, Farmers centre, ZOETIS, SPANA, BAJUTA, COSTECH, Ministry of Livestock and Fisheries Development, University of Dodoma, and Sokoine University of Agriculture as among the major sponsors if this year's conference.

More than 25 scientific presentation and discussions are being tabled and in parallel business exhibitions from veterinary service providers will be done,

TVA session

For more visit TVA Conference page  or go back to CVMBS home page

 

SHARE THIS INFORMATION WITH YOUR FRIEND

HOSPITALI YA RUFAA YA WANYAMA SUA YAFANYIWA UBORESHAJI KUIMARISHA HUDUMA

front view

Jengo la hospitali ya rufaa ya wanyama SUA

Hospitali ya rufaa ya wanyama SUA ndiyo hospitali pekee ya hadhi ya rufaa kwa wanyawa nchini Tanzania. Hospitali hii ambayo ipo chini ya College ya Tiba za Wanyama na Sayanzi za Afya katikaChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo imekuwa msaada mkubwa kwa wafugaji nchini katika kutatua shida mbalimbali za afya ya wanyama.

 Kibao 2

Muda wa kazi katika hospitali ya rufaa ya wanyama ya SUA

Hivi karibuni hopitali hii imeingia katika programu ya ubioreshaji ikihusisha upanuzi wa jengo na uboreshaji wa vifaa-tiba. Dr Isack Kashoma ambaye ni mratibu msimamizi wa hospitali hii amebainisha kwamba uboreshaji uliofanyika na unaoendelea kufanyika ni hatua muhimu katika kuhakikisha huduma kwenye hospitali hiyo zitakuwa za kiwango cha juu zaidi. Uboreshaji wa hospitali hii umewezeshwa na fedha za serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na msaada wa shirika la "Foundation Science for Development" kwa ufadhii wa serikali ya Poland.

renovation 2Kashoma 2

Dr Isack Kashoma akitoa maelezo kuhusu shughuli za hospitali

 

Hospitali ya rufaa ya wanyama SUA hutumika pia kama hospitali ya kufundishia kwa wanafunzi wanaosoma masomo ya tiba za wanyama chuoni SUA. Dr Kashoma amesema kuwa uboreshaji wa hospitali utasaidia kuboresha huduma za kufundisha wanafunzi kwani utasaidia uwepo wa eneo kubwa zaidi la kufundishia na vifaa bora na vya kisasa zaidi.

Haematological analyser

 Mashine maalumu ya kuchukua vipimo vya damu (Haematological analyzer) kwa ajili ya kupima afya ya wanyama

Hospitali ya rufaa ya wanyama SUA inajikita katika huduma mbali mbali ikiwemo matibabu ya kawaida ya wanyama, upasuaji, chanjo na ushauri kwa wafugaji. Hospitali hii ina wodi maalumu kwa ajili ya kulaza wagonjwa (wanyama) wanaohitaji uangalizi wa karibu.

urine analyzer 2

Mashine maalumu ya kuchukua vipimo vya mkojo (urine analyzer) kwa ajili ya kupima afya ya mnyama

SHARE THIS INFORMATION WITH YOUR FRIEND

MAONYESHO YA TEKNOLOJIA ZA UFUGAJI NA SAYANSI ZA TIBA: TAREHE 10-12 DISEMBA-2020

Jumuia ya madaktari wa wanyama kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta binafsi, taasisi za utafiti na huduma za mifugo ikiwa ni pamoja na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Ndaki ya Tiba za Wanyama na Sayansi za Tiba wanawakaribisha wananchi wote kwenye maonyesho ya teknolojia za ufugaji wa mifugo na huduma kwa wafugaji.

Tarehe ya kuanza: Maonyesho yataanza tarehe 10 hadi 12 Disemba, 2020

Muda: Kuanzia  saa 2 na nusu asubuhi hadi saa 11 jioni kila siku.

Kiinglio: Hakuna kiingilio, wananchi wote wanaruhusiwa kuingia bure. Pia huduma mbalimbali ikiwemo bidhaa zenye punguzo maalum.  Ushauri toka kwa wataalam utatolewa bure.

Mahali: Viwanja vya Ofisi za Mifugo (TVLA), Barabara ya Afrika Mashariki, Arusha

---------------------------------------------------------------------------------------------------

KONGAMANO LA KISAYANSI

Maonyesho haya yatafanyika sambamba na kongamano la kisayansi la mwaka ambalo litashirikisha wataalam wa sekta mbalimbali zinazohudumia mifugo, na wananchi wote kwa jumla na vyombo vya habari.

Kongamano hili litafanyika ukumbi wa kimataifa wa AICC karibu na yanapofanyika maonyesho.

Jisajili sasa ili kuhakikisha ushiriki wako kwenye kongamano hilo, taarifa kuhusu usajili zinapatikana hapa.

-----------------------------------------------------------------------

Tanzania Veterinary Association in collaboration with private stake holders, research institutions and livestock service providers is inviting the general public to the exhibitions for the livestock technologies, products and services.

Date: 10-12, December, 2020

Time: 8.30 - 17.00

Entrance: Free

Venue: Viwanja vya Mifugo (TVLA), Barabara ya Afrika Mashariki, Arusha

Information for some of the exhibitors available at the end of this page

TVA SCIENTIFIC CONFERENCE

The exhibitions will be conducted in parallel with TVA Scientific Conference 2020 that will take place at Arusha Interenational Conference Centre (AICC), located just few meters from the exhibitions ground.

Register to book your place. Registration information available here

For Information about exhibitors please visit: www.tva.or.tz

SHARE THIS INFORMATION WITH YOUR FRIEND