December 6, 2020

Day

Jumuia ya madaktari wa wanyama kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta binafsi, taasisi za utafiti na huduma za mifugo ikiwa ni pamoja na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Ndaki ya Tiba za Wanyama na Sayansi za Tiba wanawakaribisha wananchi wote kwenye maonyesho ya teknolojia za ufugaji wa mifugo na huduma kwa...
Read More