latest news

Category

The Erasmus+ KA171 Programme funded by the European Union offers opportunity to graduate students registered at Sokoine University of Agriculture (SUA) in the field of Veterinary Sciences to spend between 2 to 12 months at the University of Messina (UniMe), and UniMe students and staff to spend some time at SUA. Selection of participating students...
Read More
Basi hilo lipo nawe kama una paka wako jike, kwa mfano na hutaki azae inawezekana. Hayo, pamoja na mengine yamedhihirika kwenye maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Madaktari wa Wanyama Duniani yaliyofanyika kitaifa katika Viwanja vya Mwembetogwa mjini Iringa. Dkt. Aloyce Bunyage, Mtaalamu wa wanyama kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo amesema kuwa upasuaji...
Read More
Maadhimisho ya Siku ya Madaktari wa Wanyama Duniani, 2024 yaliyofanyika Mkoani Iringa tarehe 25.04.2024 mpaka 27.04.2024 katika Viwanya vya Mwembetogwa. Wakazi wa mji wa Iringa na viunga vyake wameonesha muitikio mkubwa wa kuchanja mbwa dhidi ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa katika maadhimisho ya siku ya madaktari wa wanyama duniani.  
Read More
5
The Tanzania Veterinary Association (TVA) is pleased to inform you that the 39th TVA Scientific Conference and Annual General Meeting (AGM) will be held at the Kambarage Conference Hall, Hazina Complex, in Dodoma, Tanzania from Wednesday 24th to Friday 26th November, 2021. THEME Advancing One Health in Tackling Climate Change and Emerging Pandemics to Support...
Read More
IMG 20210526 WA0142
Prof Elliot C Phiri, Rasi wa Ndaki ya CVMBS Katika mashindano hayo yaliyotamatishwa leo, timu na mtu mmoja mmoja kutoka Ndaki ya Tiba ya Mifugo na Sayansi za Afya wametia fora kwa kushinda katika michezo mbalimbali Profesa Elliot E. Phiri ambaye ni Rasi wa Ndaki ameongoza wanandaki wake kwa kuibuka kidedea katika mbio na kukimbiza...
Read More
Tetrads Kisarawe
Sio jambo la ajabu kukuta watoto ndio wanakuwa karibu sana na wanyama wa kufugwa hasa tunaowaita companion animals mfano mbwa na paka Kuna wakati watoto wanakuwa karibu sana na wanyama hawa kiasi cha kuumia sana pale mnyama anapopata matatizo. Zipo familia ambazo mtoto anaweza kuwa rafiki na mbwa kiasi kwamba anaweza kumgawia chakula chake. Ukaribu...
Read More
Mother and baby Kisarawe
A successful Rabies vaccination program was carried in Kisarawe, Coastal region from 5th to 9th May 2021, with SUA participating through the College of Veterinary Medicine and Biomedical Sciences. The Program, which basically launches a National Vaccination program against the Zoonotic disease was facilitated by different stakeholders including FAO, WHO, AFROHUN, SUA, MUHAS, MoLF, and...
Read More
kISARAWE DAY 2 3
  Kampeni ya kutokomeza kichaa cha mbwa kwa uchanjaji iliyoanza tarehe 6 May 2021 wilayani kisarawe inaendelea kwa ufanisi mkubwa. Timu za wataalamu zimetawanyika sehemu mbali mbali za wilaya hiyo ambapo mwamko wa wananchi ni mkubwa kushiriki zoezi hilo. Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Ms Jokate Mwegelo amekuwa bega kwa kweba na wataalamu kutoka Chuo...
Read More
Kisarawe 1
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Ms Jokate Mwegelo akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa SUA wanaoshiriki kampeni ya chanjo ya kichaa cha mbwa Wataalamu na wanafunzi wa Ndaki ya Tiba ya Mifugo na Sayansi za Afya wameungana na wadau wengine katika kampeni ya kitaifa ya kutokomeza kichaa cha mbwa kwa kuchanja...
Read More
1 2 3 6