Maadhimisho ya Siku ya Madaktari wa Wanyama Duniani, 2024

Maadhimisho ya Siku ya Madaktari wa Wanyama Duniani, 2024 yaliyofanyika Mkoani Iringa tarehe 25.04.2024 mpaka 27.04.2024 katika Viwanya vya Mwembetogwa.

Wakazi wa mji wa Iringa na viunga vyake wameonesha muitikio mkubwa wa kuchanja mbwa dhidi ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa katika maadhimisho ya siku ya madaktari wa wanyama duniani.

 

Related Posts