April 29, 2024

Day

Basi hilo lipo nawe kama una paka wako jike, kwa mfano na hutaki azae inawezekana. Hayo, pamoja na mengine yamedhihirika kwenye maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Madaktari wa Wanyama Duniani yaliyofanyika kitaifa katika Viwanja vya Mwembetogwa mjini Iringa. Dkt. Aloyce Bunyage, Mtaalamu wa wanyama kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo amesema kuwa upasuaji...
Read More
Maadhimisho ya Siku ya Madaktari wa Wanyama Duniani, 2024 yaliyofanyika Mkoani Iringa tarehe 25.04.2024 mpaka 27.04.2024 katika Viwanya vya Mwembetogwa. Wakazi wa mji wa Iringa na viunga vyake wameonesha muitikio mkubwa wa kuchanja mbwa dhidi ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa katika maadhimisho ya siku ya madaktari wa wanyama duniani.  
Read More