April 22, 2021

Day

Eric Komba
Prof Erick Vitus Komba   HONGERA Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Erick Vitus Komba kuwa Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI). Taafrifa iliyotolewa hivi karibuni na ikulu Dodoma imesema kuwa Prof Komba anachukua nafasi ya Dr Eligy Shirima ambaye amestaafu. Aidha taarifa hiyo...
Read More