May 7, 2021

Day

kISARAWE DAY 2 3
  Kampeni ya kutokomeza kichaa cha mbwa kwa uchanjaji iliyoanza tarehe 6 May 2021 wilayani kisarawe inaendelea kwa ufanisi mkubwa. Timu za wataalamu zimetawanyika sehemu mbali mbali za wilaya hiyo ambapo mwamko wa wananchi ni mkubwa kushiriki zoezi hilo. Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Ms Jokate Mwegelo amekuwa bega kwa kweba na wataalamu kutoka Chuo...
Read More
Kisarawe 1
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Ms Jokate Mwegelo akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa SUA wanaoshiriki kampeni ya chanjo ya kichaa cha mbwa Wataalamu na wanafunzi wa Ndaki ya Tiba ya Mifugo na Sayansi za Afya wameungana na wadau wengine katika kampeni ya kitaifa ya kutokomeza kichaa cha mbwa kwa kuchanja...
Read More